Tuesday, August 26, 2014

MENTAL GROWTH: A RESEARCH ON HOW A BRAIN IS LIKE A MUSCLE

My 5-year-­old son has just started reading. Every night, we lie on his bed and he reads a short book to me. Inevitably, he’ll hit a word that he has trouble with: last night the word was “gratefully.” He eventually got it after a fairly painful minute. He then said, “Dad, aren’t you glad how I struggled with that word? I think I could feel my brain growing.” I smiled: my son was now verbalizing the tell­-tale signs of a “growth­ mindset.” But this wasn’t by accident. Recently, I put into practice research I had been reading about for the past few years: I decided to praise my son not when he succeeded at things he was already good at, but when he persevered with things that he found difficult. I stressed to him that by struggling, your brain grows. Between the deep body of research on the field of learning mindsets and this personal experience with my son, I am more convinced than ever that mindsets toward learning could matter more than anything else we teach.
Researchers have known for some time that the brain is like a muscle; that the more you use it, the more it grows. They’ve found that neural connections form and deepen most when we make mistakes doing difficult tasks rather than repeatedly having success with easy ones. What this means is that our intelligence is not fixed, and the best way that we can grow our intelligence is to embrace tasks where we might struggle and fail.
However, not everyone realizes this. Dr. Carol Dweck of Stanford University has been studying people’s mindsets towards learning for decades. She has found that most people adhere to one of two mindsets: fixed or growth. Fixed mindsets mistakenly believe that people are either smart or not, that intelligence is fixed by genes. People with growth mindsets correctly believe that capability and intelligence can be grown through effort, struggle and failure. Dweck found that those with a fixed mindset tended to focus their effort on tasks where they had a high likelihood of success and avoided tasks where they may have had to struggle, which limited their learning. People with a growth mindset, however, embraced challenges, and understood that tenacity and effort could change their learning outcomes. As you can imagine, this correlated with the latter group more actively pushing themselves and growing intellectually.
Sal and his son
The good news is that mindsets can be taught; they’re malleable. What’s really fascinating is that Dweck and others have developed techniques that they call “growth mindset interventions,” which have shown that even small changes in communication or seemingly innocuous comments can have fairly long­-lasting implications for a person’s mindset. For instance, praising someone’s process (“I really like how you struggled with that problem”) versus praising an innate trait or talent (“You’re so clever!”) is one way to reinforce a growth ­mindset with someone. Process­ praise acknowledges the effort; talent­ praise reinforces the notion that one only succeeds (or doesn’t) based on a fixed trait. And we’ve seen this on Khan Academy as well: students are spending more time learning on Khan Academy after being exposed to messages that praise their tenacity and grit and that underscore that the brain is like a muscle.
The Internet is a dream for someone with a growth mindset. Between Khan Academy, MOOCs, and others, there is unprecedented access to endless content to help you grow your mind. However, society isn’t going to fully take advantage of this without growth mindsets being more prevalent. So what if we actively tried to change that? What if we began using whatever means are at our disposal to start performing growth mindset interventions on everyone we cared about? This is much bigger than Khan Academy or algebra — it applies to how you communicate with your children, how you manage your team at work, how you learn a new language or instrument. If society as a whole begins to embrace the struggle of learning, there is no end to what that could mean for global human potential.
And now here’s a surprise for you. By reading this article itself, you’ve just undergone the first half of a growth­-mindset intervention. The research shows that just being exposed to the research itself (­­for example, knowing that the brain grows most by getting questions wrong, not right­­) can begin to change a person’s mindset. The second half of the intervention is for you to communicate the research with others. We’ve made a video (above) that celebrates the struggle of learning that will help you do this. After all, when my son, or for that matter, anyone else asks me about learning, I only want them to know one thing. As long as they embrace struggle and mistakes, they can learn anything.

Thursday, August 14, 2014

Business is all about Relationship

It is easy to forget that people do business with people they like.This implies that business is all about relationship.
This implies successful business are those which are prone to make friendship and networking.Thus,relationship involves among others,shaking hands,do lunches,spread your good will,trying whatever you do to touch people's hearts and evangelizing your message


Quotation from Jay-Z

 "I am not a businessman.I am a business, man"

Wednesday, August 13, 2014

Some Benefits of Failing


The only failure in life is the failure to try.
Failure has its own benefits as it reflects an increase in your reach and it also reflects risk taking.
Thus, it is better if you fail often.Additionally, who cares if you win or lose so long as you get another experience to add to the inventory?!
SOMETHING TO NOTE:
All successful people you see they fail many times than less successful people who fail to try lest they fail

Tuesday, August 12, 2014

TECHNOLOGY AND BEST HUMAN QUALITIES:WHICH SHOULD DOMINATE THE RELATIONSHIP?


Blessings such as creativity, imagination and intellect are unique to human beings and these human qualities and skills are irreplaceable by technology.For example, Architects  fear that by using technology they may lose control and ultimately lose their creativity.

There is however a strong need to develop a balanced relationship between technology and creativity, in order to gain the advantages technology has to offer. Various philosophies exist as to how the relationship between humanity and technology should exist. There are debates around which element should dominate the relationship.  All considered, due to the inevitability and length of the close relationship of the two,technology should be viewed as a means by which to enhance life by making it easier, as opposed to being the opponent by captivating time and energy and ultimately being in control.



Thursday, August 7, 2014

An Amazing Opportunity!!

If someone offers you an amazing opportunity and you are not sure you can do it, say Yes-then learn how to do it later- Richard Branson

Wednesday, August 6, 2014

Dreams Fulfilment

Don't be afraid of the space between your dreams and reality.If you can dream it, you can make it so (Belva,B.,1932)

However, so many are afraid to be themselves, thus most give up their dreams to follow the crowd.
Shakespeare once said "to thine own self be true"

Therefore, have the courage to be your true and greatest you.
Warren Buffet once said," there cant be true yous"


DREAMS

All our dreams can come true if we have the courage to pursue them (Walt Disney 1901-1966)

Dreams

You should nurse your dreams and protect them through bad and tough times to the sunshine and light which always come!-Woodrow Wilson(1856-1924)

Friday, August 1, 2014

Alikuwa DJ sasa anamiliki vyombo vya habari

Source: Habari leo

“BAADA ya muziki wetu wa vijana kukataliwa kupigwa katika vituo mbalimbali vya redio nchini, niliona njia pekee ni kuanzisha kituo cha redio ya burudani ili kutangaza kazi na vipaji vya vijana.” 

Hiyo ni kauli ya Joseph Alex Kusaga 'Joe’, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group inayomiliki vituo vitatu vya redio vya Clouds FM, Choice FM, Coconut FM, na kituo cha televisheni cha Clouds.
 

Pia anamiliki makampuni tanzu kadhaa. Kwa ujumla, Kusaga si tu kwamba amefanikiwa kisanii, bali amefanikiwa pia kimaisha kiasi cha kuwa mmoja wa vijana wa kupigiwa mfano nchini.
 

Hata hivyo, katika mazungumzo na HABARILEO Jumapili, Kusaga anakiri safari yake ya kuyafikia mafanikio aliyonayo haikuwa rahisi hata kidogo.
 

Alianzia mbali, akiwa mchezeshaji disko, yaani DJ tangu akiwa mwanafunzi wa Sekondari ya Mzizima, jijini Dar es Salaam mwaka 1985.
 

“Kupuuzwa kwa muziki wa vijana ndiko kulikochangia kuwa na wazo la kuanzisha kituo cha redio,” anasema Kusaga, miongoni mwa wasanii wanaojishughulisha na muziki wa kisasa tangu miaka ya 1980 na 1990, lakini huku nyimbo zao zikipingwa kwa kile kilichokuwa kinaaminika kuwa ni muziki wa kihuni.
 

Kusaga, ambaye wakati huo alikuwa kama kamanda wa muziki wa kizazi kipya alikwazika kwa kuwa hakukuwa na njia rahisi ya kutangaza muziki wa vijana bila kupitia kwenye redio.
 

Hata hivyo hakukata tamaa, aliamua kuweka mikakati ya kuanzisha redio ya burudani kwa lengo la kuwapatia vijana fursa ya kutangaza kazi na vipaji vyao bila vikwazo.
 

Tofauti na wasanii wenye tabia ya kufuja mali kwa lengo la kujipatia umaarufu, Kusaga alizingatia usemi wa wahenga kuwa `Fahari ni Mama wa Ujinga’. Hivyo alidunduliza fedha zake kwa lengo la kukusanya mtaji wa kuanzisha redio.
 

Anasema kwamba, ingawa kila alipozungumzia suala la kuanzisha redio, watu wengi walitilia shaka uwezo wake hakukata tamaa kwa kuwa aliamini anaweza kutimiza ndoto yake ya kumiliki redio kwa ajili ya sauti za wanyonge.
 

Ili kutimiza lengo hilo Kusaga aliandaa matamasha mbalimbali kwa lengo la kuwajumuisha wanamuziki chipukizi kutoa burudani kwa mashabiki wa muziki wa kizazi.
 

“Niliendelea kuandaa matamasha huku nikifanya utafiti wa kuanzisha redio…baada ya mtaji wangu kuongezeka niliomba mkopo benki niweze kufanikisha azma yangu,” anaeleza. Hata hivyo haikuwa rahisi kupata mkopo ila hakukata tamaa.

Alivuta subira na kuendelea kuhangaika hadi alipofanikiwa kupata mkopo huo. Pia alianzisha club za burudani katika hoteli mbalimbali kwa lengo la kutunisha mtaji wake.
 

“Pia nilipata changamoto kidogo wakati wa kuomba leseni ya kufungua kituo cha redio…walitilia shaka umri wetu, lakini waliamua kutupatia kwa kuwa tulifaulu kujibu maswali na kutimiza masharti yote.
 

Baada ya kupata leseni Kusaga na timu yake walikaa mwaka mzima kabla ya kufanikisha lengo lao.
 

“Baada ya kupata leseni niliamua kujikita katika utafiti wa kina na kutafuta njia ya kuhimili ushindani wa muda mrefu kwa kuzingatia matumizi ya teknolojia ya kisasa na mahitaji ya Watanzania,” anaeleza.
 

Katika utafiti wake alibaini kuwa asilimia kubwa ya magari yaliyopo Tanzania ni ya Kijapani na yana redio ambazo hazina uwezo wa kukamata stesheni mbalimbali za redio.
 

Hivyo alitumia mbinu kuhakikisha kuwa kituo chake cha Clouds kinasikika katika magari jambo ambalo lilimuwezesha kuvuma kwa haraka.
 

“Wakati redio Clouds ilipoanzishwa mwaka 1998 iliweza kusikika katika magari yote yaliyopo Dar es Salaam hivyo ilikuwa rahisi kufahamika,” anaeleza.
 

Hivyo ndivyo ilivyozaliwa Clouds FM yenye kauli mbiu 'Redio ya Watu’, hivyo kutimiza ndoto ya muda mrefu ya Kusaga aliyoianza wakati anaanzisha disko lake katika ukumbi wa Hellenic jijini Dar es Salaam mwaka 1985.
 

Miaka miwili baadaye, baada ya kupata ujasiri zaidi alianzisha disko lililoitwa Clouds, wakati huo yeye mwenyewe akiwa mchezeshaji, yaani DJ, akitumia jina la DJ Emperor.
 

Hakuna shaka kwamba, disko la Clouds lilitia fora na kuliteka Jiji tangu lilipokuwa linaporomoshwa katika kumbi za Motel Agip `Shimoni’, New Africa, Twiga House, Kilimanjaro Hotel (Pool side) na Hotel Seventy Seven mjini Arusha kabla ya baadaye kuanzisha klabu yake iliyoitwa Mawingu Club huko Arusha.
 

Ni disko la Clouds ndilo lililotamba pia katika kumbi kama TAZARA pale Kinondoni na kumbi nyingine za ndani na nje ya Dar es Salaam.
 

Mambo yalikwenda yakiongezeka na kufikia mwaka 2000, alianzisha studio yake ya kisasa iliyoitwa Mawingu Studio eneo la Mwenge, Dar es Salaam.
 

“Mitambo hiyo imesaidia kurekodi nyimbo sanjari na matumizi ya kisasa ya mitambo ya kisasa ya kurushia matangazo. Pia Studio hiyo inapunguza vikwazo vya vijana ambao wanaimba nyimbo nzuri, lakini wanakosa sehemu ya kurekodia,” anasema.
 

Ujio wa studio hiyo ulikuja miaka miwili tangu kuanzishwa kwa kituo cha redio cha Clouds FM ambacho hakuna ubishi kwamba, ni moja ya vituo bora kabisa vya burudani nchini. Aliwakumbuka `vijana wa zamani’ kwa kuanzisha kituo kingine cha redio, Choice FM pia cha jijini Dar es Salaam, lakini kikiwa maalumu kwa muziki kwa watu maalumu, hasa wale wa kuanzia miaka ya 1950 hadi sasa.
 

Katika kituo hiki, ndipo utakapoweza kuusikia kwa kina muziki wa wakali kuanzia akina Frank Sinatra, Billie Holiday, Bon Jovi, Prince na Celine Dione hadi Heather Hedley, Norah Jones, Oliver Mtukudzi hadi muziki wa kizazi kipya.
 

Ubunifu wake ulimfanya kuibuka na Coconut FM, kituo cha redio kinachotamba katika visiwa vya Zanzibar tangu mwaka 2001.
 

Baada ya kukamilisha ngwe ya kwanza ya mipango yake mingi, angalau sasa Kusaga anaweza kupumua na kusema kwa asilimia kubwa, lengo la kuwapatia vijana sehemu ya kutolea sauti zao na kutangaza kazi zao za kisanii limefikiwa ikiwa ni pamoja na kutoa fursa za ajira kwa zaidi ya vijana 100.
 

“Wasanii wengi maarufu na watangazaji wenye vipaji wamefahamika kupitia redio Clouds akiwamo Amina Chifupa (sasa marehemu)…ni wazi kuwa Clouds inaibua vipaji vya vijana,” anasema Mkurugenzi huyo kijana ambaye kiumri ndiyo kwanza yuko mwanzoni mwa miaka ya 40's.
 

Mafanikio ya jumla katika vituo vya redio yalimsukuma kuanzisha kituo chake cha televisheni ambacho tayari kimeshaanza kuwa gumzo jijini Dar es Salaam, Clouds TV.
 

Na uthibitisho wa mafanikio hayo ni tuzo ya SuperBrand ya hivi karibuni ikitambua mchango wa kituo hicho kilichopewa hadhi ya ubora miongoni vya vituo vya redio za burudani nchini.
 

Anafahamisha kuwa mafanikio yake yanatokana na dhamira aliyojiwekea tangu akiwa na umri wa miaka 17 kuwa atatumia kipaji na nguvu zake kutatua matatizo ya kijamii kwa kuwasaidia vijana hususani wanaojihusisha na muziki.
 

“Namshukuru Mungu baba yangu aliniunga mkono kwani asilimia kubwa ya vijana wanaojihusisha na muziki hupigwa vita kuanzia ngazi ya familia…hivyo naahidi kuendelea kuwasaidia vijana wanaoibukia katika muziki,” anaeleza.
 

Akielezea uzoefu wake katika masuala ya muziki, Kusaga anasema ameanza kazi ya U-dj angali mtoto.
 

Kwa kuwa baba yake alikuwa mpenzi wa muziki nyumbani kwao kulikuwa na vifaa vingi vya muziki hivyo akiwa shule ya msingi alitumia vifaa hivyo kuchagua nyimbo mbalimbali kisha kuwaalika rafiki zake kucheza disko.
 

“Baba yangu alikuwa mpenzi wa muziki hivyo nilipokuwa mdogo ilikuwa nawaalika rafiki zangu kuja nyumbani kucheza muziki ambapo mimi nilikuwa DJ kwa kuchagua nyimbo na kuzipiga,” anasema Kusaga aliyeongeza kwamba, baba yake ambaye kwa sasa ni marehemu, alimnunulia vifaa vya muziki vya kisasa hivyo kupata uwezo wa kupiga muziki ambao mashabiki walisema unapasua mawingu, hivyo kuzaliwa jina la `Clouds’, yaani `Mawingu’.
 

Lakini kabla ya kujikita katika biashara hasa ya burudani, alipata fursa ya kusomea ufundi umeme katika kilichokuwa Chuo cha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mjini Morogoro ambacho kwa sasa ni Chuo Kikuu cha Waislamu.
 

“Nilisoma ili niweze kutengeneza vifaa vya umeme katika redio na mitambo ya muziki….pia nimesomea masuala ya ujasiriamali na kozi fupifupi za uongozi na utangazaji,” anasema Kusaga, mume wa Juhayna Ajmy ambaye pia ni mkurugenzi wa kitengo cha burudani cha Clouds na ofisa mwandamizi wa Primetime Promotions. Amebahatika kuzaa naye watoto wawili, Natalia na Zalex.
 

Pamoja na kazi nyingi, Kusaga hutenga muda wa kujumuika na familia yake, ana anapopata nafasi anapenda kuogelea. Pia anapenda kusafiri na kujifunza mambo mbalimbali katika nchi za wengine hususani matumizi ya teknolojia mpya.
 

Ana ushauri gani wa vijana katika kutimiza ndoto zao za maisha? Anasema: “Vijana wajiingize katika shughuli wanazozipenda badala ya kufuata mkumbo. Na kwa wasanii chipukizi wajenge tabia ya kujiheshimu, kufanya kazi kwa bidii na kuweka malengo katika bora katika maisha.
 

“Wasanii wanapaswa kuvaa vizuri, kuwa na tabia nzuri na kuweka malengo na mipango endelevu katika maisha kwa kuzingatia kuwa ujana unapita,” anasisitiza. Pia amewataka wasanii kujiendeleza kielimu, ikiwa ni pamoja na kuhudhuria matamasha na maonyesho ya kimataifa ili kupanua wigo wa kufikiri.
 

Kupitia kampuni yake ya Primetime, Kusaga akishirikiana na Mkurugenzi mwenza, Ruge Mutahaba, wameweza kufanikisha ujio wa wasanii nyota wa kimataifa nchini kwa udhamini wa makampuni mbalimbali, miongoni mwao wakiwa Youssou Ndour, Angelique Kidjo, Fally Ipupa, Mbilia Bel, Fat Joe, P Square, Shaggy, 50 Cent, Kevin Lyttle, Koffi Olomide, DNA, Jay Z na mchumba wake Beyonce.
 

Pia wamo Ja Rule, Hugh Masekela, Mya, 2Face Idibia, Miriam Makeba, Wayne Wonder, Sean Paul, Wenge BCBG na nyota wengine wengi wa nchi za Afrika Mashariki na Kati.
 

Anamalizia kwa kuwashauri vijana wanaohisi wanaonewa au kudaiwa rushwa ili nyimbo zao ziweze kupigwa katika kituo chake watoe taarifa kwa uongozi wa juu.
 

Hata hivyo anasema redio inatoa kazi za wasanii kwa kuzingatia viwango hivyo wasanii ambao hawajafikia viwango wanaimarishwa kwa kupitia matamasha mbalimbali.
 

Huyo ndiye Joseph Alex Kusaga, `mtukutu’ aliyejipangia aina ya maisha tangu akiwa mtoto, na leo hii ana kila sababu ya kujipongeza kwa kutimiza ndoto yake ya kumiliki kituo cha redio.